Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,725
1,990
Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu sijui kwasababu washakuwa na majina basi wanajiona hakuna kama wao. Au Mipango ya Label ni Wasani wajichomoe akili watrend na kuongelewa Instagram.

Nikiri kusema ni label ambayo Wasani wake wanatrend kwa matukio ya ajabu kuliko kazi zao hii ni kwasababu ya kukosa NIDHAMU na Kuongozwa na mtu ambaye haelewi nini maana ya NIDHAMU kwenye kazi kila kazi inaitaji nidhamu hili iweze kufanikiwa na kufikia malengo yake

Unakuta msani anafanya kitu cha kijinga ilimradi tu atrend na kuongelewa Instagram bila kujua Effects zake kwa baadae na sio kila mtu anayependa matukio ya ajabu ajabu au anafurahishwa na matukio ya ajabu ajabu yasiokuwa na mbele wala nyumba.

Msani ni kioo cha jamii ila unakuta msani anafanya ujinga bila kufikiria watu wa aina gani wanamfatilia inafika stage msanii anaonyesha dole la kati kwa kutokutumia akili anaona sawa tu while anajiaribia kwa watu wenye heshima zao.

Wasani wanakosa endorsement kwasababu ya matukio ya ajabu ajabu anayoyafanya yeye anaona sawa tu ila inamuaribia sana career yake.

Wasani wanakosa nidhamu inafikia stage msani anakuwa proud kwamba anavuta bangi na anaona it’s okay kwake ili atrend na kuongelewa bila kujua side effects zake kwa baaadae.

..Sijui watu wamekuwaje wanajichomoa akili ili tu atrend na kuongelewa kwenye page za udaku bila kujua inakushusha reputation yake kwa jamii na watu wenye heshima zao

Hakuna mtu wala kampuni itakayokubali kufanya kazi na mtu ambaye NIDHAMU hana na ana matukio ya ajabu ajabu au kujichomoa akili kwa vitu vya ajabu.

Kuwa maarufu kusikufanye ukose Nidhamu kwa jamii na watu wanaokuzunguka.

Kukosa NIDHAMU kunaweza kukufelisha kwenye Mambo mengi bila wewe kujua
 
Wasanii wengi hufanya matukio ya ajabu ajabu ili tu watrend na hii ni almost Dunia nzima,

Wewe bila shaka utakua na chuki zako tu kwa hao Konde gang.
 
Mtoto Wa Kiume Tafuta Kazi Za Kufanya , Dairly Kuwa Sifia Wasafi Na Next Level , Jifunze Kumueshimu Kijana Yeyote Anayepambana Kihalali ili Njia ya Chooni Isiote Nyasi , We Una Tofaut Na Baba Levo , Juma Lokole Kila Kukichaaa Una Diss
 
Wap niliwasifia wasafi au nextlevel kenge wewe
 
Konde gang ni label ambayo Wasanii wake wamekosa nidhamu sijui kwasababu washakuwa na majina basi wanajiona hakuna kama wao. Au Mipango ya Label ni Wasani wajichomoe akili watrend na kuongelewa Instagram.

Nikiri kusema ni label ambayo Wasani wake wanatrend kwa matukio ya ajabu kuliko kazi zao hii ni kwasababu ya kukosa NIDHAMU na Kuongozwa na mtu ambaye haelewi nini maana ya NIDHAMU kwenye kazi kila kazi inaitaji nidhamu hili iweze kufanikiwa na kufikia malengo yake

Unakuta msani anafanya kitu cha kijinga ilimradi tu atrend na kuongelewa Instagram bila kujua Effects zake kwa baadae na sio kila mtu anayependa matukio ya ajabu ajabu au anafurahishwa na matukio ya ajabu ajabu yasiokuwa na mbele wala nyumba.

Msani ni kioo cha jamii ila unakuta msani anafanya ujinga bila kufikiria watu wa aina gani wanamfatilia inafika stage msanii anaonyesha dole la kati kwa kutokutumia akili anaona sawa tu while anajiaribia kwa watu wenye heshima zao.

Wasani wanakosa endorsement kwasababu ya matukio ya ajabu ajabu anayoyafanya yeye anaona sawa tu ila inamuaribia sana career yake.

Wasani wanakosa nidhamu inafikia stage msani anakuwa proud kwamba anavuta bangi na anaona it’s okay kwake ili atrend na kuongelewa bila kujua side effects zake kwa baaadae.

..Sijui watu wamekuwaje wanajichomoa akili ili tu atrend na kuongelewa kwenye page za udaku bila kujua inakushusha reputation yake kwa jamii na watu wenye heshima zao

Hakuna mtu wala kampuni itakayokubali kufanya kazi na mtu ambaye NIDHAMU hana na ana matukio ya ajabu ajabu au kujichomoa akili kwa vitu vya ajabu.

Kuwa maarufu kusikufanye ukose Nidhamu kwa jamii na watu wanaokuzunguka.

Kukosa NIDHAMU kunaweza kukufelisha kwenye Mambo mengi bila wewe kujua
Tafuta kazi ya kufanya kijana. Utapelekewa moto sana kama Babalevo hapa mjini.

Mtoto Wa Kiume Tafuta Kazi Za Kufanya , Dairly Kuwa Sifia Wasafi Na Next Level , Jifunze Kumueshimu Kijana Yeyote Anayepambana Kihalali ili Njia ya Chooni Isiote Nyasi , We Una Tofaut Na Baba Levo , Juma Lokole Kila Kukichaaa Una Diss
Umemsahau na mwijaku
 
Back
Top Bottom