Konde alijaribu akashindwa.. Pengine Jaden Smith ataweza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,759
Reaction score
870,542
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.

Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni bure kabisa—hakuna maswali yanayoulizwa.
Muigizaji huyo kijana na msanii alliyepitia changamoto nyingi za kimaisha aliandika mtazamo wake kwenye page yake:
"Siwezi kuwa na mamilioni katika benki wakati kuna watu mitaani ambao hawana chakula."

Kila mtu asiye na makazi katika jamii yake sasa ana nafasi ya kupata chakula kizuri bure tena kikomo na ni chakula bora.
Tendo la kweli la wema na mshikamano. ❤️
Hongera Jaden ... Maisha yamekufunza mengi na sasa umekua

Konde alijaribu lakini alishindwa pengine kutokana na maandalizi, watendaji na mazingira
FB_IMG_1749272499023.jpg
 
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.

Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni bure kabisa—hakuna maswali yanayoulizwa.
Muigizaji huyo kijana na msanii alliyepitia changamoto nyingi za kimaisha aliandika mtazamo wake kwenye page yake:
"Siwezi kuwa na mamilioni katika benki wakati kuna watu mitaani ambao hawana chakula."

Kila mtu asiye na makazi katika jamii yake sasa ana nafasi ya kupata chakula kizuri bure tena kikomo na ni chakula bora.
Tendo la kweli la wema na mshikamano. ❤️
Hongera Jaden ... Maisha yamekufunza mengi na sasa umekua

Konde alijaribu lakini alishindwa pengine kutokana na maandalizi, watendaji na mazingiraView attachment 3358775
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
 
na hiyo kibongobongo ukifanya hayo sio ajabu watakutuhumu eti una jambo lako gizani au unataka kuwatoa kafara.!
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith, amefungua mgahawa wake wa "I Love You Restaurant”—mahali ambapo watu wenye uhitaji na wanaokabiliwa na ukosefu wa makazi wanaweza kula BURE.

Sasa, mtu yeyote ambaye hawezi kumudu chakula anaweza kupata kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni bure kabisa—hakuna maswali yanayoulizwa.
Muigizaji huyo kijana na msanii alliyepitia changamoto nyingi za kimaisha aliandika mtazamo wake kwenye page yake:
"Siwezi kuwa na mamilioni katika benki wakati kuna watu mitaani ambao hawana chakula."

Kila mtu asiye na makazi katika jamii yake sasa ana nafasi ya kupata chakula kizuri bure tena kikomo na ni chakula bora.
Tendo la kweli la wema na mshikamano. [emoji3590]
Hongera Jaden ... Maisha yamekufunza mengi na sasa umekua

Konde alijaribu lakini alishindwa pengine kutokana na maandalizi, watendaji na mazingiraView attachment 3358775
hongera zake. unasema konde huyuhuyu au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom