KOMENTI KWA LUGHA YA KWENYE DALADALA

Hoya! wa kusoma,

subiri apande ana mtoto.

gari haijai kama ndoo ya maji.

kula nyomi,

tumpeleke mswaki,

utapata tabu sana, wanga waleeee,
 
Back
Top Bottom