Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 26,133
- 68,447
...."LETA NYUMA KULIA, KATA VIZURI" Apo wanatoa gari stendi.
HAMNA TASA BANA, TIMING ZAKO NDIO MBOVU!
Stendi ipi...."LETA NYUMA KULIA, KATA VIZURI" Apo wanatoa gari stendi.
Habari za wakati huu wakuu, nielekee moja kwa moja kama kchwa cha habari kinavoelekeza, na imani miongoni mwetu n watumiaji wazuri wa daladala, komenti kwa kutaja/kutoa kauli ulizowahi kuzisikia kwenye daladala naanza na hii
"IKISIMAMA NTAKUPA"
Endelea....
Ahahaha we mwenyewe wa stend alaf unauliza ivo kwann tusipande na zpo kwa ajili ya watu ambao n sisiHadi tarehe ya leo bado mnapanda daladala ?
Shangazi hapo nyuma toaHapo mbele naomba
Sana tu na tutaendelea kuzipanda sana.Hadi tarehe ya leo bado mnapanda daladala ?
Mtu mzima hapangwi jamani...