komeni hii tabia

kipipi,bishanga kabadilika,ukitaka nikutoe mapepo sema.

Nilikuwa nauliza tu pale nilipokuwekea red, uliandika ukiwa kaunta ya juu au??

Kama kweli umebadilika Bishanga....
Inshaalah.....Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, akujaalia kila lili jema na akuepushie kila lililo baya!!

Asalaam Aleykum.....Mr. Banana man!
 
Last edited by a moderator:
Ushauri mzuri.............jf inatukosanisha na Mungu ati.
 
Nilikuwa nauliza tu pale nilipokuwekea red, uliandika ukiwa kaunta ya juu au??

Kama kweli umebadilika Bishanga....
Inshaalah.....Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, akujaalia kila lili jema na akuepushie kila lililo baya!!

Asalaam Aleykum.....Mr. Banana man!

Mungu akupe haja ya roho yako.
LIZZY mwambie sawa bana.
 
Last edited by a moderator:
Mh, ngoja nisali aisee.. Thanks for a reminder Bishanga
 
Back
Top Bottom