Kombucha

Kombucha

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
215
Reaction score
450
IMG_5186.jpeg
Wakuu wa JF! Nani amewahi kutumia hiki kinywaji aina ya KOMBUCHA atupe uzoefu wake
 
Ni tangawizi hiyo, imewekwa sukari kwa mbali, nimetumia mara moja tu kujua ladha yake na side effect yake ikoje mwilini. Nimeambiwa hata kwa shughuli ile ya majambozi inafanya vizuri hutaaibika kwa kwenda mwendo mfupi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom