Kombolela wanajitahidi sana, hongera Azam

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Mimi sio mambo yangu sana haya, ila hii kombolela wanajitahidi sana, Imeweka familia yangu watoto na wife muda wa jioni wanajumuika pamoja

Angalau sahivi hela zangu za kulipia kifurushi haziendi bure maana kipindi cha nyuma nilikua nalipia watu hawahangaiki na tv zaidi ya watoto wanaishia kuangalia cartoon tu

Kombolela wamejitahidi
 
Pongezi nyingi kwa Abdul Writer
Muandaaji wa Kombolela.
 
Hivi nyie mnaoangalia ile series ya jua kali huwa mnajifunza nini...
Mbona kumejaa ufuska tuu..
Ufuska mpk umepitiliza 🌚 wanafundisha watu kuchepuka mule mweehπŸ™ŒπŸ» Lamatta kashafeli pale
 
Kuna hz za Taswira, Fahari hazina kichwa wala miguu, haijulikani inafanya nini, haiburudishi, haieleweki inafundisha nini, haina mpangilio unaoeleweka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…