Kombe Limeenda Simba, Fedha Zimeenda Yanga?

Samahanini wana yanga lakini kwa muelekeo nyinyi ni walevi sana.

Mumekwangua vizibo vingi sana vya kinywaji, na ndiyo maana mukapata hizo fedha.

Mnashangilia bonanza kombe la kichina? Pateni makombe ya ukwe.. Kama Yanga afanyavyo
 
Samahanini wana yanga lakini kwa muelekeo nyinyi ni walevi sana.

Mumekwangua vizibo vingi sana vya kinywaji, na ndiyo maana mukapata hizo fedha.

Mlevi ni mtu wa namna gani? Mimi nakunywa bia mpaka zinafika 15 lakini silewi!
Cc:Asprin
 
Last edited by a moderator:
hata mie nilishangaa, wangetoa japo pesa inayoelekeana, zaidi ya pesa mshindi akapewa na hilo kombe;yawezekana gharama ya kombe ni kubwa sana, wataiweka miongoni mwa hazina zao na kuiuza siku za usoni
 
Kama mihela ndio mpango mzima, iweje Okwi alipwe milioni 355 kwa ajili ya mechi ya zawadi ya sh. milioni 100?

Tangu Kitoabu apigwe 'ban' nimekuwa makini sana kupost hasa kujibu kejeli za hawa watani. Okwi amesajiliwa Yanga kwa 2.5yrs si kwa mechi ya mchangani kama hii! Naishia hapa, RIP Kitoabu, we miss u Chief.
 
Last edited by a moderator:
Tangu Kitoabu apigwe 'ban' nimekuwa makini sana kupost hasa kujibu kejeli za hawa watani. Okwi amesajiliwa Yanga kwa 2.5yrs si kwa mechi ya mchangani kama hii! Naishia hapa, RIP Kitoabu, we miss u Chief.
Kama sio kwa ajili ya mechi hii, kwa nini aliletwa fasta na kupangwa huku wachezaji waliokuwa kambini muda mrefu wakibaki benchi hadi mwisho?
 
Mlevi ni mtu wa namna gani? Mimi nakunywa bia mpaka zinafika 15 lakini silewi!
Cc:Asprin
Tatizo sio wewe, tatizo wachezaji wa Yanga walikuwa wanafakamia Kili ili wapate mahela. Wakasahau wao ni wachezaji na sio wanywaji. Bahati mbaya kwao hayo mahela watayasikia tu, waganga njaa watagawana kama kawaida yao.
 
Tatizo sio wewe, tatizo wachezaji wa Yanga walikuwa wanafakamia Kili ili wapate mahela. Wakasahau wao ni wachezaji na sio wanywaji.....

Uzuri YANGA tuna umoja, kuanzia MASHABIKI, WACHEZAJI mpaka VIONGOZI, tulikunywa sana Bia za Kilimanjaro ndio maana wachezaji wetu hawakucheza vizuri na hata ADMIN wa YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB alikuwa anatuhabarisha kinyume, SIMBA wanafunga goli yeye anatuhabarisha YANGA wamefunga goli! IMG_1480.PNG
 
Nyie ujanja wenu bonanza tu, mbona makombe ya ukwe.. Hambebagi mara nyingi?
Bao ni bao tu, haijalishi umelipigia gesti, hotelini, nyumbani au chini ya mti. Mimba haichagui bao limepigiwa wapi. Pole mtani pombe.
 
Bao ni bao tu, haijalishi umelipigia gesti, hotelini, nyumbani au chini ya mti. Mimba haichagui bao limepigiwa wapi. Pole mtani pombe.

Wapenda bonanza na kombe la kichina pole weee
 
Ila ukweli yanga aibuuu tupu yani hamna jipya mnajitahidi kucoment japo mnaumia huu ndio mpira jitahidini muwachukue na akina tambwe ili tano zisijejirudia..
 
Back
Top Bottom