kama mlifuata mihela mbona mmeingia kwa kutoa mihela? i.e wewe umepata ngapi kwenye mgawo?
Samahanini wana yanga lakini kwa muelekeo nyinyi ni walevi sana.
Mumekwangua vizibo vingi sana vya kinywaji, na ndiyo maana mukapata hizo fedha.
mlidhani na huko watamwaga viroba?
Kombe....!.
Bonanza linalompeleka kocha nyumbani, hehehehe. hadithi ya sungura kukosa zabibu. Nasikia mnafungua saccos, sisi mpira ndiyo azma yetu, samba oyeeeeeKaleni kombe la bonanza sikukuu, kwetu ni napilau tu lol
sizitaki mbichi hiziz, hizo pesa aje?
kama mlifuata mihela mbona mmeingia kwa kutoa mihela? i.e wewe umepata ngapi kwenye mgawo?