Breaking Newz!!! Kampuni ya BIA nchini TBL inapenda kuishukuru Timu fulani (jina tunalo) kwa kuweza kununua bia 94,000,000 million tisini na nne na ushee hivi!! Kampuni inaishukuru saaana hiyo timu! Kwani tangu imeanza kuuza bia haijawahi kupata faida kubwa kama hii ndan ya mwezi mmoja! Kwa takwimu za harakaharaka kampuni imepata Tsh 188,000,000,000 (wastani billion 2). Kampuni inaahidi itaendelea kuzidhamini timu zote mbili! Yaani wale ambao wachamungu pamoja na wale walevi ingwa hawajuwi mpira! Kwani hata maandiko yanasema! Yaache Magugu yaote na ngano!!! Bwana alitoa! Na Bwana ametwaa! Jina la................... Imenukuliwa kutoka kwa Meneja Masoko TBL (Bwana Kavishe)