Kama mihela ndio mpango mzima, iweje Okwi alipwe milioni 355 kwa ajili ya mechi ya zawadi ya sh. milioni 100?Mihela ndiyo mpango mzima!
Kama mihela ndio mpango mzima, iweje Okwi alipwe milioni 355 kwa ajili ya mechi ya zawadi ya sh. milioni 100?
Kwa nini mlishiriki?Kaleni kombe la bonanza sikukuu, kwetu ni napilau tu lol
Breaking Newz!!! Kampuni ya BIA nchini TBL inapenda kuishukuru Timu fulani (jina tunalo) kwa kuweza kununua bia 94,000,000 million tisini na nne na ushee hivi!! Kampuni inaishukuru s.......)
Wachezaji wa yanga wanatakiwa kufanya mazoezi ya mpira na kucheza mpira, siyo kuokota vizibo vya bia ya Kilimanjaro
yanga inawauma vitatu si mchezo! RIP Dar young africans...
Mihela ndiyo mpango mzima
Sure kama wanawake. Ndo maana mahari wanapewa wazazi wa mtoto wa kike. Mwanaume anasifiwa kwa kupiga bao, mwanamke anajisifu kwa kuchuna.
Kati ya hela na kombe bora nini?