kombe la mabara linaanza tarehe ngapi?

kombe la mabara linaanza tarehe ngapi?

kajuka

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
606
Reaction score
233
naomba wana jamvi mnisaidie kombe la mabara linaanza tarehe ngapi?
 
Bwana kajuka nadhani unamaanisha confederation cup,kama ndiyo hiyo itaanza kesho Brazil na kuisha 13rd Jly,Nigeria walikuwa wamegoma kucheza maana wanadai walikuwa hawajalipwa pesa yao ya ubingwa wa Afrika,lakini sasa wamekubali watacheza
 
Mkuu kesho confederation cup mechi ya ufunguzi ni Brazil na Japan,mechi iko moja tu na j2 ni Italy na mexico nayo itakua mechi moja
 
Mkuu kesho confederation cup mechi ya ufunguzi ni Brazil na Japan,mechi iko moja tu na j2 ni Italy na mexico nayo itakua mechi moja

Jamani naombeni mnifahamishe,Italy inashiriki kwa kigezo gani?
 
Jamani naombeni mnifahamishe,Italy inashiriki kwa kigezo gani?

Mkuu Mrimi Italy amepita kama mshindi wa pili wa UEFA ya June 2012,Mshindi wa kwanza alikua ni Spain(Bingwa),lakini Spain alishapata tiketi tangu july 2010 alipokua bingwa wa FIFA world cup(mashindano yanayoratibiwa na UEFA) ss ilipofika June 2012 kwenye UEFA nyingine akawa bingwa tena hivyo akawa na tiketi mbili yeye mwenyewe yaani ya July 2010 (FIFA WORLD CUP)na June 2012,sheria za FIFA CONFEDERATION CUP zinasema timu ikiwa bingwa katika mashindano ambayo yanatoa tiketi ya kwenda confederation cup ndani ya kipindi cha kufuzu anayemfuatia mshindi wa pili ndo anapewa nafasi ya kwenda kwenye confederation cup so Italy alikua mshindi wa pili hivyo ushindi wa 2010 wa spain ukawa ahueni kwao.
Mkuu kikubwa ni kujua timu zilizopita kwenda Confederation cup zimefuzu katika mashindano haya:

TIMU QUALIFICATION METHOD

1. BRAZIL Host
2. SPAIN 2010 FIFA WORLD CUP WINNER - JULY 2010
3. JAPAN 2011 AFC ASIA CUP WINNER - JANUARY 2011
4. MEXICO 2011 CONCACAFUL GOLD CUP WINNER - JUNE 2011
5. URUGUAY 2011 COPA AMERICA WINNER - JULY 2011
6. TAHITI 2012 OFC NATIONAL CUP WINNER - JUNE 2012
7. ITALY UEFA EURO 2012 RUNNERS UP 1(SPAIN WAS WINNERS) - JUNE 2012
8. NIGERIA 2013 AFRICAN CUP OF NATION WINNERS - FEBRUARY 2013

Inshort hapo utaona wote ni washindi ila Italy kapewa nafasi ya kuwa mshindi wa pili coz bingwa alishapata tiketi ambaye ni Spain
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom