Kombe la Dunia na masharti wapeanayo wana ndoa

Kombe la Dunia na masharti wapeanayo wana ndoa

Kitu rahisi nunua dstv weka kwako au startimes tbc watarusha. Kwanini ugombane na mtu
 
hiki ndio kipindi cha watu kuwa na michepuko ya kutosha...unaenda kucheki world cup huku mkeo anaingiza bahasha ake...
 
Dawa ni kwenda nao halaf pia waongeze pesa mara mbili maana huko waendako hatupaaminii

ikiwezekana tuwe tunahakikisha wanatoka bila pesa wala ATM card...maana tunaweza kudhan wapo kwenye mpira kumbe wako hoteli usiku kucha...
 
sijui itakuaje,,mi napenda mpira ila mr hata habari hana,nawaza jinsi ya kuaga na mie maana mpira ukitazama home haunogi kabisa!
 
kwan lazima mkaangalie
hotelini jaman? si mjikusanye tu nyumbani....kwan mkikusanyika wanne
nyumba moja hamtaenjoy?
No..., tukikusanyika na walevi wengi wengi zaidi ndo mpira unanoga
 
Back
Top Bottom