Kombe la Dunia, Afrika imepewa nafasi 9

Kombe la Dunia, Afrika imepewa nafasi 9

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo utakayofuzu kombe la dunia. Baada ya hapo Fifa ilitoa nafasi mbili kushindaniwa na mabara yote. Ambapo africa tuna chance yakupata hiyo nafasi moja. Tufikishe timu 10.

#Hiyo nafasi moja Tanzania ningumu kuipata
Kwanza inatakiwa kuwa best looser katika makundi yote tisa na kushika nafasi ya nne katika timu zenye pwenti nyingi . Baada ya hapo itafanyika michezo ya numbani na ugenini atakayeongoza kwenye hilo kundi , mmoja ataingia kwenye playof nyingine ya dunia ambapo kila bara litatoa timu moja na bara lingine litapeleka timu mbili. ,, itafanyika michezo ya nyumbani na ugenini atakayeongoza wakwanza na wapili ndio watakaofuzu kombe la dunia.

Kiufupi kama hutaweza kuongoza kundi huku africa hakuna namna unaweza kufuzu kwa kuongoza kundi lenye timu za mabara mengine
 
Acheni maneno tujipange labda 2030 , tena tuanze na afcon baadaye ndio tupigie mahesabu kombe la dunia
 
Achana na Dunia wala Afrika nzima, hata Afrika Mashariki na Kati tu Tanzania sio Magwiji wa Kandanda... sio leo wala jana.
 
Africa mashariki inajulikana mbabe ni Uganda🤣
 
Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo utakayofuzu kombe la dunia. Baada ya hapo Fifa ilitoa nafasi mbili kushindaniwa na mabara yote. Ambapo africa tuna chance yakupata hiyo nafasi moja. Tufikishe timu 10.

#Hiyo nafasi moja Tanzania ningumu kuipata
Kwanza inatakiwa kuwa best looser katika makundi yote tisa na kushika nafasi ya nne katika timu zenye pwenti nyingi . Baada ya hapo itafanyika michezo ya numbani na ugenini atakayeongoza kwenye hilo kundi , mmoja ataingia kwenye playof nyingine ya dunia ambapo kila bara litatoa timu moja na bara lingine litapeleka timu mbili. ,, itafanyika michezo ya nyumbani na ugenini atakayeongoza wakwanza na wapili ndio watakaofuzu kombe la dunia.

Kiufupi kama hutaweza kuongoza kundi huku africa hakuna namna unaweza kufuzu kwa kuongoza kundi lenye timu za mabara mengine
Nilivyo waona jana naweka alama ya ?
 
1757154288579.jpg

Morocco anatafuta tu sare katika mech 3 zilizobaki
 
Mimi huwa napata shida kuizungumzia timu yetu!
Yaani timu yetu hata ikipendelewa ianze nusu fainaili haiwezi kuchukua Kombe la Dunia.
 
Back
Top Bottom