GE2025 Kombani na Lukuba Wangara Matokeo ya UWT Morogoro

GE2025 Kombani na Lukuba Wangara Matokeo ya UWT Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,448
Reaction score
2,095
Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Katika zoezi hilo lililosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amesema jumla ya kura 1653 zimepigwa na wajumbe ambapo Lucy Kombani ameibuka mshindi kwa kuongoza kwa kura 1314 huku mshindi wa pili Sheila Lukuba akiwa na kura 597

Uteuzi huu wa awali ni sehemu muhimu ya maandalizi ya kuwapata wabunge wanawake wa viti maalum kupitia CCM





Chanzo: Jambo TV
 
Huyo ni mtoto wa Celina Kombani aliyekuwa mbunge wa Ulanga kwa Wapogoro ?
 
Back
Top Bottom