Kombani na Lissu Live on Star TV

Kombani na Lissu Live on Star TV

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,247
Reaction score
12,766
Celina anatetemeka hadi nondo zote alizoziandaa hazisomeki! Hebu angalia mwenyewe
 
Mh. Tundu Lissu anajaribu kutufafanulia ni kwanini CHADEMA kimekuwa na msimamo huu walionao dhidi ya Muswada wa Katiba Mpya.

Kombani anasema serikali ilipewa ruhusa na kamati kufanya mabadiliko wakati yeye Tundu Lissu yupo Tarime kwa iyo atakua hana taarifa kama mjumbe wa kamati. Lissu anamwambie aonyeshe hansard iliyowapa ruhusa naona bibi Kombani ameishia kujichekesha tu
 
Wanene kinaga ubaga msitakabali wa nchi hii kwa sasa na baadaye
 
Shusha maelezo mkuu wengine tuko mbali na runinga. Mama wa kutumwa anasemaje?
 
Wakuu, wengine tuko ughaibuni tv yetu ni JF jitahidini kutuwekea hapa yanayoendelea live.
 
Kombani maji yako shingoni nafikiri anajuta kushiriki tuongee asubuhi.
 
Wakuu, wengine tuko ughaibuni tv yetu ni JF jitahidini kutuwekea hapa yanayoendelea live.
 
kweli wapendwa ukiamua kutoa thread ambao inahusu mjadala kwenye tv jitahidi kutoa update maana sio wote wenye access ya tv wakati huo.. hizi habari nusunusu sio nzuri ..ingawa sinatupa awareness tu
 
Jamani sie wengine tupo huku Tanzagiza mliopo Tanzania tujuzeni vizuri tafadhali:focus:
 
Labda ndio maana wakaweka huo mjadala mida hii ambayo hakuna umeme ili watu wengi wasiuone, loh magamba wana akili sana vinginevyo Celina asingekubali kuja hapo
 
Nimegundua kuna watu huwa wanataka kuwa wa kwanza kuleta mada fulani bila kuja na details
Usikute na yeye kaambiwa
 
Back
Top Bottom