Mufilisi wa akili, sioni cha kulinganisha hapo. Kwa hiyo ndo anataka kutuambia maendeleo yapo ila hayaonekana tu kwa vile TZ ni kubwa? Hayo wanatakiwa waambiane kwenye vikao vtyao vya ndani ya CCM sio kwetu great thinker
uyo kazoeaaaaaaaaaaaaaaaa awamu ya kwanza akaimbe kwaooooooooooooooooo msibani mana now hana dili za kampeni may be igungaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo mana analala.nyieeeee watu eti komba mbunge ngoja nami nifanyeeeeee mchakato lazima
uyo kazoeaaaaaaaaaaaaaaaa awamu ya kwanza akaimbe kwaooooooooooooooooo msibani mana now hana dili za kampeni may be igungaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo mana analala.nyieeeee watu eti komba mbunge ngoja nami nifanyeeeeee mchakato lazima <br>
nahisi alikuwa anajikuna sikio lake la kushoto kwa pamba/kidole.matokeo yake ile raha ya kujikuna ikamlegeza-akalegea mpaka mdomo.naona viudenda vya mate kwa mbaaaaaali.
Nadhani komba amemnukuu Rais wake wa Tz aliyewahi kusema kwa jinsi Tz ilivyo na barabara nyingi za lami ukizihamishia Malawi basi lami ina_cover mpaka vyooni.
Sioni cha kushangaza alichosema Komba, kwani hiyo ndo kazi yake ya kuimba na kusifia ujinga siku zote maana ugali wake anaupata kwa kazi hiyo ya kusema mistari!