Komba arejea toka India

naona kitambi kimeongezeka, ili alienda kwa matibabu ??? ngoja nkachek web ya bunge utakuta amerudi na Phd toka india ha ha ha ha ha, maana hawa magamba ni wasengerema sana..

Mastaz ya Music production and Ambiguous
 
kheee huyo pembeni yake nani?hahaaaa au ndo my wife wake....omba kumbe hujui kuchagua bana..mbwembwe za bure tu aaaghh


1.+John+Komba+na+Mkewe+Salome.jpg


Ndo mwanandoa mwenzake, anavumilia mengi, ndoa ndoana.
 
Anaeleza pumba kwani alikuwa hajui kama ni mnene kuliko kawaida?
Poleni sana watu wa Mbinga.
 
Naona wamemkamua mavi yote manake kama mtumbo umepungua. Hivi anamshugulikia vipi Lulu?

magamba bana yani kucheki minyoo mpaka India jamani
 
Back
Top Bottom