wapo wengi sana tu utafikiri wamesingiziwa kuwa wanawake
Hakuna commando wa kike mkuu
Na hii sio Tanzania ni dunia nzima
..hakuna komando wa kike jwtz na hata nchi nyingine.labda half komando na sio jeshi la tz.niamini mimi zingine porojo.
Komandoo Lady JD
gen. Moshe Dayan uko wapi?.kuna mtu kaniambia umepotelea congo forest ktk ile vita na m23.kama upo nakuomba uje uondoe utata aliouliza mleta mada.
Tukiwa tunajiandaa kuangalia maonyesho mbalimbali ya majeshi yetu na mbwembwe na ukakamavu wa makomando wetu ktk sherehe za Muungano unapotimiza miaka 50 mwaka huu.
Hivi huko jeshini wapo Makomando wa kike wanaoruka na kuvunja matofali kama wale wakiume?
Wapo wengi sana tu utafikiri wamesingiziwa kuwa wanawake
Komandoo Lady JD
Mnajadili nini hapa?