We mtu ulikua wapi[emoji28]Watu wanashindwa Kutambua Sex ni Art,Kwahiyo Ni Ufundi tu na Ubunifu,Ukiwa Fasta Basi Fanya Mazoezi ya Kergel kudhibiti hiyo hali na kurudia mzigo basi tumia withdral technic.
Komando Kitambi na Baloteli walitisha.
Naona wenye vitambi mnatiana moyo!Kweli aiseee.
Kuna mahali niliwahi kusoma kuwa moja ya kazi za kitambi kwa mwanaume rijali ni kuhifadhi pia nguvu za ziada kwa ajili ya kugegedana in case nguvu za kawaida ziko depleted.
Kitambi ni asset muhimu ya kulinda kama mboni ya jicho.
Wenzetu wenzako gani?...Kwa wenzetu ile ni michezo ya watoto...
Kitambi ni maradhi na ulaji usiofaa.Kweli aiseee.
Kuna mahali niliwahi kusoma kuwa moja ya kazi za kitambi kwa mwanaume rijali ni kuhifadhi pia nguvu za ziada kwa ajili ya kugegedana in case nguvu za kawaida ziko depleted.
Kitambi ni asset muhimu ya kulinda kama mboni ya jicho.
acha kupotosha kwa wenzetu gani mbona tunaona majeshi ya kisasa kabisa kama ya china na russia wakifanya show za vile ,usijitie kujua bure!Yaani wa TZ wako nyuma sana upuuzi na michezo ya kitoto eti makomandoo imekuwa ni sifa. Kwa wenzetu ile ni michezo ya watoto. Wacheni hizo
Na wewe hupendagi wenye vitambi bibie??Kitambi ni maradhi na ulaji usiofaa.
Wenzako kina nani nanga wewe!! Watu wanaongelea vitambi wewe unaleta story za wenzako, akina na ni sasa!!Yaani wa TZ wako nyuma sana upuuzi na michezo ya kitoto eti makomandoo imekuwa ni sifa. Kwa wenzetu ile ni michezo ya watoto. Wacheni hizo
Kitambi sikizuri kwa afya hafu hudeshi hudeshi naniliu eeeehNa wewe hupendagi wenye vitambi bibie??