Kolo Toure wa Manchester City afunga ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kolo Toure wa Manchester City afunga ndoa

Discussion in 'Entertainment' started by Kabota, Jun 26, 2012.

 1. Kabota

  Kabota Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Hatimaye mmoja wa wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi kutoka Afrika, Kolo Toure wa Manchester City ameisaliti rasmi kambi ya makapela.


  Defender huyo raia wa Ivory Coast amemuona mpenzi wake wa muda mrefu Chimene Akassou, wiki iliyopita June 14 huko Abidjan.


  Kolo na Chimene wameishi kwa zaidi ya mwaka mmoja pamoja na wana watoto wawilim Sania wa kike na Yiassin wa kiume.


  Ndoa ya imefungwa wkenye msikiti katika mji mkuu wan chi hiyo, Abidjan.


  Kaka yake Yaya Toure wa Manchester City naye alikuwepo kumpa shavu ndugu yake.

  Click hapa kuona picha:
  http://www.leotainment.blogspot.com/2012/06/picha-kolo-toure-wa-manchester-city.html
   
Loading...