Kolo Toure akamata JIKO

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Habib Kolo Toure Beki wa Man City ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" baada ya kufunga ndoa jana.
 

Attachments

  • Kolo weds..jpg
    19.8 KB · Views: 332
Kumbe hii kitu wanaifanya wengi ya kuoa siku chache kabla ya ramadhani? Nimeizoea huku kwetu Tandika. Hakuna kuotoka mazoezini na kuangaika kutafuta futari.
 
kwahiyo huyu ndio alikua anatumia mkorogo wenye illicit substances zilizomfelisha kolo dope test....

Na ukiangali face ya mukologu...
 
hivi wakati wa ramazani wanafanya mapenzi au la, yani mtu na mkewe waliyefunga ndoa ya kiislam wanaweza kufanya mapenzi wakati wamefunga au mwezi mzima wanakuwa wakame ili kutesti imani yao kama wanaweza kuabstain,....au ukiwa na mke unafanya....mimi hua sijui naomba anayejua tafadhali.
 

Mwezi wa Ramadhani ni ruksa kumwingilia mkeo wakati wa ucku, c ruhusa kipindi cha swaum (c ruhusa ukiwa umefunga au hata kama hamkufunga kufanya tendo hilo mchana wa Ramadhani).
 
Kolo Toure ni beki wa Manchester City na si Arsenal.
 
Wengi wao huoa kwa haraka just before Ramadhani, kuna belief which is not true, kwamba its not good or ndoa itakuwa haina baraka if its done between two Eids. Which is completely lame, there is not such thing in Islam, simply ignorant. Watu wanaoa hata during ramadhani which is very much permissible but should be of low profile.

Wengine simply wanataka wapikiwe mahanjumati ya ramadhani wakiwa kwao wasitegee mamalishe.
 
zomba, hebu njoo uwasute ma-bi harusi wa siku hizi wa kiislamu. Manake shurti cleavage ioneshwe! Ona huyu alivyojisitiri,lol!
 
Last edited by a moderator:
zomba, hebu njoo uwasute ma-bi harusi wa siku hizi wa kiislamu. Manake shurti cleavage ioneshwe! Ona huyu alivyojisitiri,lol!

Huyu pia kachemsha maana minywele iko wazi, isitoshe ni ya kubandika.
 
​Inaelekea mleta mada siyo mfuatiliaji mzuri wa EPL.

Siunajua mashabiki wa man united wao wanajua kuhusu man u tu, mtoa mada kakosea pakubwa na huku avatar yake ikiwa na nembo ya man u, heheh!!
 
Habib Kolo Toure Beki wa Arsenal ya England na timu ya Taifa ya Ivory Coast akiwa na "my wife wake" .
umekurupuka jaribu kufikir kabla ya kuweka uzi.uwe na mazoea ya kuakiki ulichoandika itakusahdia.jipe nafas ya kuwa msomaji wa uzi uone tunavyopata shda kukuelewa.
 
Beki wa Arsenal? Big up Kolo.. Wachezaji wengi weusi ulaya hupenda kuoa wazungu kolo kaonesha Mfano. Na si kama Eboue na zungu lake.
 

unaonaje uolewe kabisa, uache tabia kuhoji hoji, ukajinee mwenyewe.
 
zomba, hebu njoo uwasute ma-bi harusi wa siku hizi wa kiislamu. Manake shurti cleavage ioneshwe! Ona huyu alivyojisitiri,lol!

King'asti ni kweli uyasemayo, wengi hufata mkumbo na huwa dunia imewashika kuliko mafundisho ya Kiislaam na ya Kikristo, sidhani kama Wakristo wanaruhusiwa "cleavage" wazi iwe kwenye harusi au si harusi.
 
Ila lile sharti la kunipa vitz halihusiani na cleavage, manake shurti yapumue kidogo jamani!

Catwalk tunafanya lini?
King'asti ni kweli uyasemayo, wengi hufata mkumbo na huwa dunia imewashika kuliko mafundisho ya Kiislaam na ya Kikristo, sidhani kama Wakristo wanaruhusiwa "cleavage" wazi iwe kwenye harusi au si harusi.
 
Kinachotakiwa ni asionyeshe nywele zake, labda hizo za bandia ndo kilemba with style,lol! Labda kama akioga hakoshi nywele (mwl zomba msaada tafadhali)
Well, afadhali nywele kuliko cleavage bana! Men don't stare at the head (tunajilegezea masharti hahaha)
Huyu pia kachemsha maana minywele iko wazi, isitoshe ni ya kubandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…