Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Jamaani hii ni shule kongwe na kubwa sana imesomesha watu wakubwa kuanzia mango mkuu na wadau wenge wa siasa...inapatikana Kilimanjaro old moshi mashariki tsuduni...shule hiii imefungwa kwa mda mrefu naomba muisaidie irudi tena kwani inajitosheleza kwa infrastructure na environment in general.....changia lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app