Dogo usitusumbue kila mtu an kabila lake sasa JF ni kwa wa TZ ambao lugha yao nzuri, tamu, murua, fasaha ni kiswahili.
Mimi ninayo lugha yangu ya asili lakini natumia kwenye Forum ya kabila letu maana ndiko nitakofahamiana na wenzangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.