Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
akisha kojoa anaambiwa pole beb eeeh...then.....kidume kinajibu nn......
nikikojoa napongezwa: "ahsante dia".
akisha kojoa anaambiwa pole beb eeeh...then.....kidume kinajibu nn......
Hujasoma hapo juu ? Jokes/Utani ????Ingekua ni kufanya kazi kwa bidii na utu ungeambiwa siasa, hapa mwenzetu anasema matusi anaambiwa anaboa. Mada gani hii inafaida gani kwangu na kwako?
Wananikera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto. Haki ya mtoto hapa iko wapi??............... akikojoa kitandani
anachapwa, ila mtu mzima akitaka kukojoa, anapigwa mabusu motomoto, Mwaaaa swty, mwaaaaaa honey, mwaaaaa darling!!!!! "kojoa dear"
Anakumbatiwa na kuambiwa mmh!!
TAFAKARI, ZINGATIA NA CHUKUA HATUA
"HAKI WATOTO"
umetumia tafsida bibie...................ila ni matusi matuupuhembu nitajie tusi moja tu uliloliona ww!!!