Haki ya mtoto ipo wapi?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Haki ya mtoto iko wapi TZ,....akikojoa anachapwa ....ila mume akitaka kukojoa anapigwa buusu anaambiwa kojoa tuuu darling,haki ipo wapi?chukua hatua tafadhari.
 
alicho sema lady n ni correct kabisa ule mwepesi hauna hata dhamani unatiwa choroni flash they it goes,the mzito one una dhamani be course unaleta raha sukari mungu
 
Nilichogunduwa mtoto hukoja bila ya taarifa ila mume hutoa taarifa then akapewa maandalizi ya kukojoa kwake yakiwemo hayo mabusu. Then mtoto anachapwa kukojoa ovyo ovyo kuoneshwa kuwa mkojo wake utakuwa umuhimu siku za mbeleni
 
Nilikuja kwa kasi nilifikiri kuna dogo anaonewa.
Kwaherini.

Mi nilidhani anataka kutaja mambo tofauti yanayofanywa na watoto na hatuwa zinazochukuliwa kwa watoto wa Tz na wa huko nje. Then tuonyeshe haki ilipo.
 
Nilichogunduwa mtoto hukoja bila ya taarifa ila mume hutoa taarifa then akapewa maandalizi ya kukojoa kwake yakiwemo hayo mabusu. Then mtoto anachapwa kukojoa ovyo ovyo kuoneshwa kuwa mkojo wake utakuwa umuhimu siku za mbeleni

Mmmh,makuubwa
 
kwa hyo moja inafaa kuungia mboga na nyingine inafaa kupikia chai...gharama za maisha zishapungua hapoooooo
Nimefurahi sana! kwa hiyo kutokana na gharama za sukari na chumvi kupand basi tukojoe sana (watoto kwa wakubwa) nina wasiwasi na namna ya kuipata hiyo chumvi ama sukari
 
alicho sema lady n ni correct kabisa ule mwepesi hauna hata dhamani unatiwa choroni flash they it goes,the mzito one una dhamani be course unaleta raha sukari mungu

Duh,nimeshndwa kuvumilia haiitwi sukari mungu ila ni sukari guru.
 
Haki ya mtoto iko wapi TZ,....akikojoa anachapwa ....ila mume akitaka kukojoa anapigwa buusu anaambiwa kojoa tuuu darling,haki ipo wapi?chukua hatua tafadhari.
hivi umewaza nini? kweli tumeishiwa.....................
 
Haki ya mtoto iko wapi TZ,....akikojoa anachapwa ....ila mume akitaka kukojoa anapigwa buusu anaambiwa kojoa tuuu darling,haki ipo wapi?chukua hatua tafadhari.

Huyu anayepigwa busu kwa kuitwa Darling, ni mkojo huu anakojoa mtoto au ni ule mkojo wa Wakuba?
 
Haki ya mtoto iko wapi TZ,....akikojoa anachapwa ....ila mume akitaka kukojoa anapigwa buusu anaambiwa kojoa tuuu darling,haki ipo wapi?chukua hatua tafadhari.

Mkojo wa mtoto sio mzuri unachafua nguo wa baba mtamu
 
Back
Top Bottom