Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,902
Hili limekaaje abiria wa bodaboda kuvaa helmet? Sheria hii ya kulazimisha abiria wa pikipiki za kukodi maarufu kama boda boda kubadilishanabadilishana helmet sie tutaambukizana magonjwa?
wateja inabidi wanunuliwe yao.
Hamjamuelewa mleta mada!kama ushafika Uganda,rwanda na burkina faso...abiria anavaa kofia..kwa usalama wake..na ni sheria..cjui hapa kwetu naona watu vichwa wazi