Koffi Olomide

pesa....

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Inamuhusu Mtangazaji wa Radio Free Africa. Bolingo time
 
😀😀😀😀😀[QUOTE="Mwanamayu, post: 22336170, member
Naona yupo na binti yake anaitwa Did Stone, huyu nadhani mi mwanamitindo, ila anaishi Paris. Sasa ndo uone google translate inavyodanganya, eti Didi jiwe.
 
Kwa kuongeza kidogo tafsiri ya maneno ya kikongo, ambacho ni kibantu pia.
Nzambe= Mungu
Nzambe na ngai=Mungu wangu
Mokili= dunia
Fololo= kiberiti
Mobali= Mume
Mwasi= musichana
Kitoko= muzuri
Mobimba=yote
Makambo= mambo, matatizo
Lelo=leo
Lobi=kesho
Lobi eleki= jana
Moi=mchana
Butu= usiku
Kolaba= talk
Pesa= nipe
Mbongo=fedha
 
Qhubeka Bhala ukubuyekeza Hambisa ukubuyekeza Ukubuyekeza kwami Buyekeza kusukela ku- Izibuyekezo Ukuba usizo Okusha kakhulu Isilinganiso Ukuba usizo Zonke izinhlobo Zonke izinhlobo Uhlobo lwakamumva Bhala ukubuyekeza
 
Asante mkuu, umenipa mwanga kwenye haya:
Mokili mobimba
Tata na nzambe
Mwasi kitoko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…