Koffi olomide autikisa mji wa daraes-salaam mwaka 2012

Koffi olomide autikisa mji wa daraes-salaam mwaka 2012

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO YA ONYESHO LA KOFFI OLOMIDE NCHINI TZ 15/12/2012 HUKO LEADERS CLUB




26.jpg

Mwanamuziki wa Kimataifa, kutoka Congo, Koffi Olomide, akiwaongoza wanenguaji wake kushambulia jukwaa, wakati wa onyesho lake la Usiku wa Tusker Carnival, lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo, ambapo pia alisindikizwa na bendi za Sky Light, Twanga Pepeta, Diamond Sound na Mapacha Wa3.
25.jpg

Mwanamuziki wa Kimataifa, kutoka Congo, Koffi Olomide na mwanamuziki wake, Cindy, wakiwaongoza wanenguaji wake kushambulia jukwaa, wakati wa onyesho lake la Usiku wa Tusker Carnival, lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club usiku wa kuamkia leo, ambapo pia alisindikizwa na bendi za Sky Light, Twanga Pepeta, Diamond Sound na Mapacha Wa3
17.jpg

Wanenguaji wa Bendi hiyo, wakishambulia jukwaa....
18.jpg

Mashambulizi yakiendelea......
23.jpg

Koffi Olomide, akiimba jukwaani, baada ya kupanda na kushangiliwa na umati mkubwa wa tu waliojitokeza kushuhudia onyesho hilo, jana usiku kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
10.jpg

Hapa ni wakati wanenguaji wa Koffi, akiingia kwenye Jengo waliloandaliwa rasmi kufikia kabla ya kupanda jukwaani, ndani ya Viwanja vya Leaders.
13.jpg

Koffi, akiwasili katika eneo aliloandaliwa kupumzika kabla ya kupanda jukwaani.
14.jpg

Koffi, akiteta jambo na Boss wa Tusker, baada ya kuwasili viwanjani hapo.
15.jpg

Koffi, akinasa picha ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya SLB watengenezaji wa Bia ya Tusker, iliyoandaa onyesho hilo, kabla ya kuanza kwa Sebene za kupagawisha viwanjani hapo.
16.jpg

Wanenguaji wa Koffi, akipozi katika picha baada ya kuwasili viwanjani hapo.
6.jpg

Boss wa Tusker na wafanyakazi wake wakipozi kusubiri kumpokea Koffi.
1.jpg

Wadau wanahabari nao walikuwepo uwanjani hapo kushuhudia misebene ya Koffi.
2.jpg

Sehemu ya Mashabiki wa Muziki wa dansi, wakifurahia radha ya muziki wa Koffi.
3.jpg

Waimbaji wa Bendi ya Sky Ligth, Jonico Frower Maua Gwa, akipozi na wanenguaji wake na mwanamuziki mwenzake, Kushaba.
4.jpg

Asha Baraka, Macheni na baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakifuatilia onyesho hilo.
5.jpg

Mshereheshaji wa onyesho hilo, ambaye pia ni mtangazaji wa Tv Ben Kinyaiya, akisebeneka tar tiiiiibu.....
9.jpg

Hapa sebene la Wana wa Koffi, lilikolea kiasi cha kuwafanya mabosi hawa wa Tusker kushindwa kuvumilia na kuamua kuanza kuyarudi.
20.jpg

Sehemu ya mapaparazi waliokuwapo kunasa picha za matukio ya onyesho hilo.
19.jpg

Warembo pia walikuwepo....
22.jpg

Sehemu ya mashabiki wakifurahia sebene.
24.jpg

Koffi, akimpongeza Mkurugenzi wa Clouds, Joseph Kusaga, kwa kufanikisha onyesho hilo.
7.jpg

Huyu ni paparazi wa Ijumaa na Uwazi, akisikitika haikuweza kufahamika mapema alikuwa akisikitika baada ya kukosa tukio gani la picha....
8.jpg
​



CHANZO.MGAGANI HABARI NA MATUKIO.COM: November 2012
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nikikumbuka nyimbo zake kwenye album ya LOI , Efrakata na Force de frape(sijui ndo spelling sahihi?), namkubali sana...
 


Acha MziziMkavu!!! hapo ni lazima upande jukwaani kuonyesha maujuzi yako.
 
Last edited by a moderator:
dah Miko ilikuw kiboko nayo! Jamaa kiwango chake kile kile cha 5 star hashuki. Wenge na kibao chao cha filandu walitesa sana mid 90s. Kuna zile nyimbo za defao na Suka Chile huwa zinanikumbusha sana late 90s nikiwa Arusha mitaa ya shamsi kule!
 
Jameni huyo mdada mwenye shanga nje nje kuninogea..mmmmmaaaaaaa
 
thanks kwa mapicha mzizimkavu🙂) Koffi mkalii

Hamna ngoma yake nilivyoipenda kama hii.. Yani hapa naumwa lakini midadi ya kucheza imenianza!! Naupenda kweli

[video=youtube_share;hax0fSHnAO4]http://youtu.be/hax0fSHnAO4[/video]
 
Back
Top Bottom