Koffi Olomide adhihirisha hana mpinzani

Koffi Olomide adhihirisha hana mpinzani

Baba yao ni La Okanga la Ndju pene Lwambo Lwanzo Makiadi Franco. Wakifuatiwa na wale jamaa wa Kavasha akiina Nzaya Nzayadio, halafu ndio hii generation ya akina wenge na wenzie
 
Ekotike Ekotikeee Take a photo pyaaaaaaaaaaaaa Le Grande Mupao Mwonkonzi Charles Antoir Koffie Olomide Iko juu mazee.
 
wee GENTAMYCINE tangu lini mwanafunzi akamzidi mwalimu wake kimaarifa?.

hao wote uliowataja hapo kwenye post yako,wacheza show wao,marapa,waimbaji na wapiga vyombo karibia wote wamepitia kwa koffi.

huyo ferre na fally ni wanafunzi wa koffi japo ferre kafundishwa na walimu wawili(koffi na werrason)
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa koffi olomide mzuri kwenye video na upangiliaji wa video na mavazi. Ila kwa congo anauza cd tu . Hawezi kusimama na jb mpiana bin adam mukulu. Tafuteni live show ya dance kinkole au valentine au live show za werasoni ngiama makanda. Show zote kubWa za live zinazoendeshwa hapo congo wanapewa hawa jamaa. Koffi kabaki muuza sura tu
 
Unaweza kudhani upo sahihi kwasababu tu huna taarifa sahihi
 
Hahaaa koffi olomide mzuri kwenye video na upangiliaji wa video na mavazi. Ila kwa congo anauza cd tu . Hawezi kusimama na jb mpiana bin adam mukulu. Tafuteni live show ya dance kinkole au valentine au live show za werasoni ngiama makanda. Show zote kubWa za live zinazoendeshwa hapo congo wanapewa hawa jamaa. Koffi kabaki muuza sura tu

Kalanga Photo pyaaaaaaaa Kula tigo hahaaaaaaaaaaaaaaa......
 
wee GENTAMYCINE tangu lini mwanafunzi akamzidi mwalimu wake kimaarifa?.

hao wote uliowataja hapo kwenye post yako,wacheza show wao,marapa,waimbaji na wapiga vyombo karibia wote wamepitia kwa koffi.

huyo ferre na fally ni wanafunzi wa koffi japo ferre kafundishwa na walimu wawili(koffi na werrason)
Ferre Gola amepiga na Werrason nyimbo zote zikawa Kama ni za werrason na hata hivyo Ferre hakuweza kutambulika wala kujulikana mwenye sauti yenye Kuvutia hiyo ni baada ya kutoa CD ambazo alikuwa akihitaji Promo aweze kutambulika yeye na Fally Koffi akawapa fursa hiyo
Naomba kuongeza hiyo ni Pia Sanaa ya muzuki ya Kongo chikizi yoyote anaetaka kutoka ni fursa kuu yakupaa ikiwa Koffi ndiye Godfather
 
Back
Top Bottom