Koffi Annan: DR Congo imo hatarini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan pamoja na viongozi wengine wa zamani kutoka Afrika wamewasilisha ombi la dharura la kuwepo kwa amani wakati wa mpito nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Rais Kabila hakujiuzulu wakati muda wake wa utawala wake ulipokamilika mwaka uliopita hatua iliozua mgzozo wa kisiasa. Chini ya makubaliano yaliotiwa saini mkesha wa mwaka mpya ,uchaguzi unafaa kufanyika mwaka huu.

Lakini Bwana Annna na viongozi wengine wa Afrika wanasema kuwa makubaliano hayo hayaheshimiwi hali inayolifanya taifa hilo kuwa katika hatari.


Chanzo; BBC swahili
 
Amani itarejea hivi punde endapo maelewano yakizingatiwa na kuheshimiwa
 
Waache watawaliwe tena na Rwanda

Mkuu iwatawale mara ngapi, wakati Joseph asili yake ni ya huko huko!! Mnafikiri haya mabo ya kusema eti waasi wamevamia makambi ya jeshi mara kuvamia magereza na kuwafungulia waharifu haya si matukio ya kawaida - sijui kwa nini Viongozi wa Africa hawajalishtukia hilo - mwisho wa siku utasikia Kabira anatangaza hali ya hatari nchi nzima na kupata kisingizio cha kuendelea kubaki madarakana indefinetly kwa ku-invent lame excuses - jamaa hawa wako well organised - sasa Wakongomani wasipo komaa watatawaliwa miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom