Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,845
- 13,122
Mwisho mwema ni upi bro???Mungu baba nijaalie mwisho mwema🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Usitutishe sisi siyo viraza hadi tukatikisika.KATA ndoa mnaona mambo hayo
InasikitishaHii hali imenza kuingia bongo
Mkuu vipi ulikuwa unaumwa upo lonely?Hii ilibaki kidogo inikute. niliponea chupuchupu.
Then?Sawa lakini watajua umekufa.. Na si kifo cha upweke!
Nilikua nakunywa sana pombe kali mpaka sukali ikawa inashuka. Hiyo siku niliishiwa nguvu hata za kusimama tu. niliweza kupiga simu mtu akatoka sinza mpaka mbagala ndo wakaja kuvuja mlango. nilikua nakufa kweli..Mkuu vipi ulikuwa unaumwa upo lonely?
Duh pole Sana mkuu, inanikumbusha Kuna jamaa ,, alilewa akajifungia ndani na music inapiga amekufa wameshtuka mda ushapita siku zaidi ya Tatu kama sikosei Maana alibaki yeye tu hapo ndani na mdogo wake wa kike dah huzuni Sana.Nilikua nakunywa sana pombe kali mpaka sukali ikawa inashuka. Hiyo siku niliishiwa nguvu hata za kusimama tu. niliweza kupiga simu mtu akatoka sinza mpaka mbagala ndo wakaja kuvuja mlango. nilikua nakufa kweli..
sure kbsaPia hakizoeleki
Kuna mazingira inatakiwa tuthamini maisha.. Huwezi amini tangu siku hiyo nnakunywa kwa password kichizi. Na kuacha mazingira siweziDuh pole Sana mkuu, inanikumbusha Kuna jamaa ,, alilewa akajifungia ndani na music inapiga amekufa wameshtuka mda ushapita siku zaidi ya Tatu kama sikosei Maana alibaki yeye tu hapo ndani na mdogo wake wa kike dah huzuni Sana.
🥺🥺🥺🥺 seriously!?Nilikua nakunywa sana pombe kali mpaka sukali ikawa inashuka. Hiyo siku niliishiwa nguvu hata za kusimama tu. niliweza kupiga simu mtu akatoka sinza mpaka mbagala ndo wakaja kuvuja mlango. nilikua nakufa kweli..
Pombe ina kanuni tatuKuna mazingira inatakiwa tuthamini maisha.. Huwezi amini tangu siku hiyo nnakunywa kwa password kichizi. Na kuacha mazingira siwezi
Pombe ina kanuni tatuKuna mazingira inatakiwa tuthamini maisha.. Huwezi amini tangu siku hiyo nnakunywa kwa password kichizi. Na kuacha mazingira siwezi
100% truePombe ina kanuni tatu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiona unaanza kuchanganya mafaili kwenye hizo kanuni tatu ondoka haraka kwenye eneo