Kodi za TPA 2026 chini ya DP World

Kodi za TPA 2026 chini ya DP World

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,026
Reaction score
2,106
1. Infrastructure Improvement Levy
2. Environmental Management Charge
3. Cargo Handling Charges
4. Container Handling Fees
5. Vehicle Handling & Clearance Charges
6. Storage Charges
7. Berth / Vessel Service Charges
8. Terminal Service Fees
9. Administrative & Port Service Fees
 
Wabongo hawapendi vitu vigumu. Waambie tu kuna 9% mpya imeongezeka ya IIL na ile asilimia nyingine ya mazingira
 
Unajiuliza inakuaje mafuta inapitia Dar port alafu bei ya mafuta Lubumbashi ni nafuu kuliko Dar es salaam? Kweli penye miti hakuna wajenzi.
Sukari inatoka Brazil hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko Sukari inayotoka Mtibwa.
Mchele inatoka Vietnam hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko mchele kutoka Shinyanga na Mbeya na Bahi.
What is wrong with our leaders? Are they after whom?
 
viongozi Wengi sio watanganyika! kuna wazenji na wa nchi zingine
 
Unajiuliza inakuaje mafuta inapitia Dar port alafu bei ya mafuta Lubumbashi ni nafuu kuliko Dar es salaam? Kweli penye miti hakuna wajenzi.
Sukari inatoka Brazil hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko Sukari inayotoka Mtibwa.
Mchele inatoka Vietnam hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko mchele kutoka Shinyanga na Mbeya na Bahi.
What is wrong with our leaders? Are they after whom?
Tatizo ni genge la ccm!
Walifanya mapinduzi kitambo kuondoa jembe na nyundo wakapachika wafanyabiashara haramu!
 
Back
Top Bottom