kwa line zaidi ya m20 ni wazi CCM watakuwa wakichukua 2bn kila siku..finally kila mwizi watakuwa na 60bn...za kutosha kabisa kuwaaambia watanzania hawana dhambi kwa vile uovu wa CCM 2015 utakuwa financed na watanzania wote wenye line za simu...
We unafikiri kila mtu ameajiriwa?Mbona mnalipa kodi nyingine nyingi.
Badala ya kulalamikia PAYE ishuke mnalalamikia tozo la simu.
Hongera serikali kwa kutokukubali kuyumbishwa na wanasiasa.
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Kweli kabisa wtz wote hasa wa vijijini wanaopaswa kulipa kodi wengekuwa wanalipa, ccm ingekuwa ishaondoka madarakani kitambo.Kwa iyo mi nalipa sawa na Bakhresa sio?
Ila sipingi, kwani huenda ni mpango wa Mungu, tuingie madarakani kwa ushindi wa kimbunga.
Watakata tu aisee, labda uwe unawakopa kwanza.Hakatwi mtu hapa
wasituletee ujinga wao
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Juliana Shonza unajua maana ya ulichokiandika kweli? Kama wakikata kuanzia januari si utachangia elfu 12 tu kwa mwaka. Kwa hiyo unajiona mzalendo sana kwa kuchangia taifa lako shilingi elfu 12 tu kwa mwaka? Kijana kama wewe ni aibu kutamba mbele za watu kwa kodi ya elfu 12 kwa mwaka. Kwa elimu yako na ujana wako ulipaswa kuajiri watu kibao na ungekuwa unalipa kodi zaidi ya hiyo elfu 12 kwa mwaka. Tafakari, acha kuulia maandazi ujana wako uzee utakuumbua.Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Na bado utakatwa sana mpaka hiyo senta bolt ikatike!!Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Na ile biashara yako nyingine unayofanyaga kwa siri ya kuuza ............... vipi kodi unalipa????!!!Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?