Kodi ya maegesho hospitali ya Taifa Muhimbili

FGC

Member
Oct 13, 2014
7
4
Aisee hichi kitu nimekutana nacho kimeniuma sana, Sijui huyo anaeishauri serikali kwenye ukusanyaji wa mapato sio mtanzania?? Imagine mtu naenda hospital naumwa hoi, naingia natibiwa na ninalipa BILLS zote, alafu niende tena nilipie na packing dahh..
HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO!!!
IMG_4977.jpg

IMG_4978.jpg
 
View attachment 2897732
View attachment 2897733
Sio lazima kuendesha gari hadi ndani Muhimbili. Watanzania mnalalamika sana.
 
Aisee hichi kitu nimekutana nacho kimeniuma sana, Sijui huyo anaeishauri serikali kwenye ukusanyaji wa mapato sio mtanzania?? Imagine mtu naenda hospital naumwa hoi, naingia natibiwa na ninalipa BILLS zote, alafu niende tena nilipie na packing dahh..
HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO!!!
View attachment 2897732
View attachment 2897733
Sasaivi muhimbili imekuwa ni hela mbele kila kitu,hapo usijekuta wameona kigezo cha hospital kuongeza mapato ni maegesho,hili swala hutoona machawa wakilizungumza
 
Hio imetokana watu walikuwa wanaenda kupack gari mhimbili kisha wanaenda misele mbali huko,
Ndo wakaja na huo utaratibu
Usiwasikilize nakuomba. Hii waliitaja kama sababu tu kuhalalisha kuwaibia wagonjwa na waokuja kuona wagonjwa

Kama hiyo ndio ilikuwa sababu kwa hiyo dawa ni kutumia weledi yasitokee hayo au kuwa penalise wagonjwa na jamaa wengine wanaoenda muhimbili hospital genuinely
 
packing unalipa kwa masaa
ukiingia pale na kausafiri kako kama unaenda
kufuata huduma za matibabu maana huwa inachukua muda kumaliza
andaa kamsimbaz kako kwaajili ya packing
 
Aisee hichi kitu nimekutana nacho kimeniuma sana, Sijui huyo anaeishauri serikali kwenye ukusanyaji wa mapato sio mtanzania?? Imagine mtu naenda hospital naumwa hoi, naingia natibiwa na ninalipa BILLS zote, alafu niende tena nilipie na packing dahh..
emoji3064.png
emoji3064.png

HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO!!!
Matatizo yetu ni fursa kwa serikali na wezi wake
 
Hio imetokana watu walikuwa wanaenda kupack gari mhimbili kisha wanaenda misele mbali huko,
Ndo wakaja na huo utaratibu
Mbona hili ni rahisi sana kudili nalo! Ilitakiwa mwenye gari akionesha any doc ya kuattend hospital kwa siku hiyo awe excepted from parking fee; simple! Nadhani lengo ni maduhuli no matter what!
 
Nilisoma mahala kuwa mpango wa kuweka tozo ya maegesho Muhimbili umewekwa kwa lengo la kudhibiti watu ambao walikuwa na tabia ya kwenda kupaki magari Muhimbili asubuhi na kisha kuyafata jioni wanapotoka makazini. Watu hao ni wale wanaofanya kazi maeneo ya karibu na hospitali hiyo. Parking zilikuwa zinajaa kupita kiasi.
 
Aisee hichi kitu nimekutana nacho kimeniuma sana, Sijui huyo anaeishauri serikali kwenye ukusanyaji wa mapato sio mtanzania?? Imagine mtu naenda hospital naumwa hoi, naingia natibiwa na ninalipa BILLS zote, alafu niende tena nilipie na packing dahh..
HAIJAKAA SAWA HATA KIDOGO!!!
View attachment 2897732
View attachment 2897733
Hiyo ni namna ya kukontroo population ya magari mzee baba!!!,ile ni hospitali kubwa sana, ivi kila m2 mwenye gari anapoenda kumwangalia mgonjwa akienda kumtembelea akiwa na gari,na kila mgonjwa akipelekwa kwa gari binafsi na wageni wanaoenda kutalii pale,na wanafunzi walioko internship akienda na gari,alaf iwe free packing,unategemea hali itakuwaje mazee!!!!,,,tumia akili kubwa kaka!!!! so wanapoweka kulipia inasaidia kupunguza mrundikano wa magari!!!!!,,,,,,ujue kuna wengine wanfanya kazi au biashara kando ya hospitali,bila kulipia m2 anaweza akaingia na gari na kuliacha humo mpaka amalize kazi!!!! nadhani umenielewa jombaaaaaaaaa!!!
 
Hiyo ni namna ya kukontroo population ya magari mzee baba!!!,ile ni hospitali kubwa sana, ivi kila m2 mwenye gari anapoenda kumwangalia mgonjwa akienda kumtembelea akiwa na gari,na kila mgonjwa akipelekwa kwa gari binafsi na wageni wanaoenda kutalii pale,na wanafunzi walioko intenrship akienda na gari,alaf iwe free packing,unategemea hali itakuwaje mazee!!!!,,,tumia akili kubwa kaka!!!! so wanapoweka kulipia inasaidia kupunguza mrundikano wa magari!!!!!,,,,,,ujue kuna wengine wanfanya kazi au biashara kando ya hospitali,bila kulipia m2 anaweza akaingia na gari na kuliacha humo mpaka amalize kazi!!!! nadhani umenielewa jombaaaaaaaaa!!!
Ok, man
 
Back
Top Bottom