Kodi ya gari hii itakuwaje ikifika Dar

Kodi ya gari hii itakuwaje ikifika Dar

kama uajua nambie kwa kukadiria. TRA nako majanga
Mkuu tumia calculator ya tra iko kwenye web yao www.tra.go.tz then upande wa kulia chini chagua tools na chagua calculator chagua brand ya gari, chagua model, chagua mwaka, chagua cc, chagua mafta inayotumia, chagua nchi unapoinunua then calculate itakupa makadirio so easy
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Screenshot_20180501-173330.png
 
Mkuu tumia calculator ya tra iko kwenye web yao www.tra.go.tz then upande wa kulia chini chagua tools na chagua calculator chagua brand ya gari, chagua model, chagua mwaka, chagua cc, chagua mafta inayotumia, chagua nchi unapoinunua then calculate itakupa makadirio so easy
asante sana rafiki.
 
Sio closed mkuu. Hapa pana mjadala kidogo. Be forward wanaauza gari dola 2200 pamoja na usafiri lakini TRA wanakwambia gari hii thamani yake ni 3886 USD. Something is not right here. Tra bei zao wanatoa wapi na kwa vigezo vipi
nafikiri tra hawavaagi boxer ndo maana
 
Sio closed mkuu. Hapa pana mjadala kidogo. Be forward wanaauza gari dola 2200 pamoja na usafiri lakini TRA wanakwambia gari hii thamani yake ni 3886 USD. Something is not right here. Tra bei zao wanatoa wapi na kwa vigezo vipi
Una hoja ya msingi sana.
 
Sio closed mkuu. Hapa pana mjadala kidogo. Be forward wanaauza gari dola 2200 pamoja na usafiri lakini TRA wanakwambia gari hii thamani yake ni 3886 USD. Something is not right here. Tra bei zao wanatoa wapi na kwa vigezo vipi
Mkuuu pokea tuuu
Ndio maana kuna magari mengi pale TPA mkuuuuu
 
Sio closed mkuu. Hapa pana mjadala kidogo. Be forward wanaauza gari dola 2200 pamoja na usafiri lakini TRA wanakwambia gari hii thamani yake ni 3886 USD. Something is not right here. Tra bei zao wanatoa wapi na kwa vigezo vipi
Thread closed mzee la sivyo utaacha gari pale watu walipige mnada!
 
Silent, inakuwaje magari ya Beforward yana bei ya chin lakini angalia website hii Magari ya mazda ni ghali ingawa make ni hiyo hiyo na year.... see this lik
http://www.goo-net-exchange.com/php/search/summary.php

MAZDA

PROCEED CAB PLUS

04.1997

WHITE
2.6L
Right MT
Fukuoka
Japan 798,000 yen= 7,200 USD
Simple answer ni kua Be forward ana stock kubwa zaidi, so hata akijiwekea margin ndogo still anapata wateja.

Pili ni targeted customer.

Na tatu yaweza kua quality ya gari zao pia. Gari zaweza zote ku pass kwenye inspections but with diff. qualities
 
asante kwa majibu yenye mantiki; maana gari zote ni used , mwaka ule ule wa manufacture lkn hawa Goonet bei zao ni kubwa comapred to other companies.... . nimecheki nyingi for comparison
 
Back
Top Bottom