Kodi ya buku kwenye laini narudi s.l.p!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Maisha yanazidi kuwa magumu jamani sijui walalahoi tukimbilie wapi.
Kodi kila mahali. Vitu kupanda bei je haya ni maisha bora ua bora maisha
wakuu mimi kodi ikianza mkinikosa kwenye line yangu nitafuteni kwa sanduku la posta hapo chini

mageuzi1992
s.l.p 1992
jamii forum
 
Back
Top Bottom