ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,699
Unaumwa weweYanga wanatakiwa kumleta na kocha mwingine, Nabi Hana uwezo wa kufundisha kikosi hiki
Na ataanza kufungwa siku ya mwanainchi
Unaumwa weweYanga wanatakiwa kumleta na kocha mwingine, Nabi Hana uwezo wa kufundisha kikosi hiki
Na ataanza kufungwa siku ya mwanainchi
Game 40 bila kupoteza, siku 501 bila kufungwa wewe ni mchawi, Zoran yuko wapi?
Zoran amekiangalia kikosi na masharti ya nusu fainali kaona awa hamnazo ngoja ni sepe.Zorani amepata timu inamlipa ela nyingi zaidi, ni kama vile nabi alipata timu Ila hakuamua kwenda akabakia yanga
Zoran ajafukuzwa Ila ameomba kuvunja Mkataba kwenda kwenye maslai makubwa
Ni kama ww mke wako aamue kuachana na ww wa IST aende Kwa mtu mwenye BMW
Zoran amekiangalia kikosi na masharti ya nusu fainali kaona awa hamnazo ngoja ni sepe.