Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,569 Reaction score 284,100 Dec 2, 2023 #1 Hii hapa ndio kauli yake
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,083 Reaction score 12,081 Dec 2, 2023 #2 Erythrocyte said: Hii hapa ndio kauli yake View attachment 2830929 Click to expand... Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja.
Erythrocyte said: Hii hapa ndio kauli yake View attachment 2830929 Click to expand... Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,512 Reaction score 13,723 Dec 2, 2023 #3 Mr.Junior said: Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja. Click to expand... Wewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaa
Mr.Junior said: Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja. Click to expand... Wewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,569 Reaction score 284,100 Dec 2, 2023 Thread starter #4 steveachi said: Wewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaa Click to expand... akijibu nistue
steveachi said: Wewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaa Click to expand... akijibu nistue
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,359 Reaction score 10,445 Dec 2, 2023 #5 Lile ni litimu la limejaa ushamba na ulimbukeni mwingi sana. Eti Bacca day na kuvaa misuli, mara mabango barabarani ilhali wao walishakandwa na Simba 5 - 0 na bado Simba haikufanya huo upuuzi wanaoufanya wao.
Lile ni litimu la limejaa ushamba na ulimbukeni mwingi sana. Eti Bacca day na kuvaa misuli, mara mabango barabarani ilhali wao walishakandwa na Simba 5 - 0 na bado Simba haikufanya huo upuuzi wanaoufanya wao.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,114 Reaction score 41,430 Dec 2, 2023 #6 Ali Kamwe na mwenzake kibana pua wanaiharibu Yanga. Tunamkumbuka sana Antonio Nugaz
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,512 Reaction score 13,723 Dec 2, 2023 #7 Lord Delamere in Kenya said: Lile ni litimu la limejaa ushamba na ulimbukeni mwingi sana. Eti Bacca day na kuvaa misuli, mara mabango barabarani ilhali wao walishakandwa na Simba 5 - 0 na bado Simba haikufanya huo upuuzi wanaoufanya wao. Click to expand... Mara eti zengeli day Eti wanachomekea wote hadi mijitu mizima inajitoa fahamu. Hawa ni walugaluga kweli mkuu.
Lord Delamere in Kenya said: Lile ni litimu la limejaa ushamba na ulimbukeni mwingi sana. Eti Bacca day na kuvaa misuli, mara mabango barabarani ilhali wao walishakandwa na Simba 5 - 0 na bado Simba haikufanya huo upuuzi wanaoufanya wao. Click to expand... Mara eti zengeli day Eti wanachomekea wote hadi mijitu mizima inajitoa fahamu. Hawa ni walugaluga kweli mkuu.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,771 Dec 2, 2023 #8 Na angekuwepo Kabwiri wangeweka kabwili day wangepigana Mbupu uwanjani mana kwa u hovyo vyura hawajambo
Na angekuwepo Kabwiri wangeweka kabwili day wangepigana Mbupu uwanjani mana kwa u hovyo vyura hawajambo
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,446 Dec 2, 2023 #9 steveachi said: Mara eti zengeli day Eti wanachomekea wote hadi mijitu mizima inajitoa fahamu. Hawa ni walugaluga kweli mkuu. Click to expand... Aziz Ki day wote walionyesha mapaja yaliyopakwa mafuta. Naisubiri Kabwili Day watavaa shanga za rangi ya njano na kijani viunoni na MamaJ Day watavaa madera bila chupi.
steveachi said: Mara eti zengeli day Eti wanachomekea wote hadi mijitu mizima inajitoa fahamu. Hawa ni walugaluga kweli mkuu. Click to expand... Aziz Ki day wote walionyesha mapaja yaliyopakwa mafuta. Naisubiri Kabwili Day watavaa shanga za rangi ya njano na kijani viunoni na MamaJ Day watavaa madera bila chupi.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,824 Reaction score 13,782 Dec 2, 2023 #10 Mr.Junior said: Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja. Click to expand... Kocha anamwamkia mrundi.
Mr.Junior said: Acha umbea. ...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja. Click to expand... Kocha anamwamkia mrundi.