Kocha Simba ataponzwa na Chama na Phili

Kitu nimekiona simba ni kwamba hata mtu yoyote anaweza kuifundisha simba na ikapata matokeo, maana sijaona mbinu zozote za kocha wao
 
wewe unamzungumzia chama huyuhuyu alie mtia pdynamos mikwaju miwili au?
 
Ki asili Robertinho anapenda mpira wa Nguvu na kasi wenye ufundi kiasi waangalie Vipers na timu zote alizo wahi kufundisha.

Anapenda kukaba kwa nguvu na kushambulia kwa haraka, Bahati mbaya inabidi amchezeshe Chama au Ngoma kwakua hana namna ila niwachezaji ambao hawaendani na anacho kiamini.

Namwelewa Robertinho kwakua ao wachezaji walishindwa kucheza kule kwa waarabu ambao wao wanapenda mpira wenye kasi nguvu kiasi na ufundi ila kasi ni lazima.

Robertinho anampenda Kibu, Muzamiru, Kanute kwakua wana kasi na Nguvu isipokua wana ufundi kwa kiasi kidogo.
Kwasasa anavumilia kwakua maboss wake ndivyo wanavyo taka.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hata kama wewe ni robertinho kwa kiwango anachoonyesha chama na ngoma ungefanyaje? Kila kocha anataka mafanikio..uliangalia game ya dynamos kanoute alikuwa anafanya pumba tu..mpira ni akili sio minguvu tu.
 
Kitu nimekiona simba ni kwamba hata mtu yoyote anaweza kuifundisha simba na ikapata matokeo, maana sijaona mbinu zozote za kocha wao
Ni ushahidi kwamba Simba wana wachezaji wazuri kama "mtu yeyote" anaweza kuifundisha Simba na ikapata matokeo.
 
Kitu nimekiona simba ni kwamba hata mtu yoyote anaweza kuifundisha simba na ikapata matokeo, maana sijaona mbinu zozote za kocha wao
Yaani hata wachezaji wenyewe bila kocha wangeweza kuifunga Coastal kutokana na ubora wa wachezaji. Lakini huoni mbinu za mwalimu pale. Chama anajituma yeye kama yeye kutoka na mapesa anayopewa na Simba lakini hakuna mfumo maalumu wa timu kucheza. Simba bila kocha inaweza kupata matokeo kutoka timu ndogondogo kwenye ligi lakini sio kwenye mashindano makubwa ya caf.
 
Kocha huyo huyo amewafunga mara 3 mfululizo akiwa na Vipers na Simba.Ndio maana unaweweseka sana na Simba.
Huu ugonjwa ulionao kwa Simba unaitwa Obsessive Compulsive Disoder.Tafuta tiba achana na Simba.
 
Una ugongwa unaitwa Catatonic schizophrenia
 
Back
Top Bottom