kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,602
Kiukweli timu ya Simba inashinda mechi zake kwa mbinde ikionekana kupata matokeo kwa bahati na sibu tu, pengine kwa kusaidiwa na udhaifu wa waamuzi na mipango ya nje ya uwanja.
Kama TFF na Serikali wakisawazisha suala la waamuzi nchini huenda tukashuhudia Simba ikipata matokeo hasi chini ya kocha huyu wa sasa.
Simba mtaendelea kuwategemea waamuzi hadi lini? maana mchezo wa mpira ni mchezo wa wazi unaochezwa kwenye mwanga wa kutoka kila mtu kuona kinachoendelea uwanjani. Tunamtia aibu muwekezaji wetu, hadi kulazimika kutishia kujiuzulu ili kusaidia timu ikazane.