PostGE2025 Kocha Gamondi: Ushindi wa Tanzania ni heshima kwa waliopoteza maisha Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29.

Kocha Gamondi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya mchezo kumalizika, Tanzania imefuzu katika hatua mtoano kama Best Loser katika kundi C, ambapo pia itacheza na Morocco katika hatua hiyo mnamo Januari 4,2026.
Source: BBC
 
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29.
Mmmmmmm hapo sasa....hìi post itadumu kweli humu??
 
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29.

Loko Omi ametuandalia taarifa hii
📹 @brianmala
-
-
#bbcswahili #soka #oktoba29 #afcon2025
 
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29.
Chawa walijua atasema ushindi wa Mama,pumbavu kabisa
 
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29.
Ahahah,
 
Screenshot_20251230-124956~2.png
 
Back
Top Bottom