Ni kweli kabisa huyu ukimkanyaga umeumia ....hata ndugu yangu alivyoumwa na huyu mdudu chanzo alimkanyaga bila kumwona wakati anavuka barabaraHahaha mkuu sisi tulikua tunawarudisha nyuma alipo toka yani kila akienda mbele sisi tunamvuta nyuma tukichoka tunamuulia mbali ila ukimkanyaga imekula kwako
Hakika nimevutiwa na maelezo yako kuhusu huyo nyoka kifutu kutoa sauti umsogeleapo. Umenikumbusha nilipoemushwa na Mungu kutoka kwenye kifo na hatari ya nyoka huyo. Nikiwa mdogo sana mkoa fulani hivi, nikiwa nimeinama kwenye shamba la mpunga uliokuwa katika hatua za kung'olea, sikuwa na hili wala lile huku kando yangu kukiwa na watu wengine wakiendelea na shughuli za ng'olezi(wakulima wa mpunga najua wanajua) nikawa nasikia sauti, sikujua kabisa ile sauti na ya nini, lakini kiasi inafanana na sauti ya paka mtoto aliyebanwa mahali.Ukiwa unamsogelea anatoa sauti ya kukuonya siyo kwamba anakua kajikausha kua anakuogopa.
Isipokua sauti hua anaitoa kwa chini mno na kwa vile mara nyingi kukutana naye ni porini unaweza kuhisi ni majani ndiyo yanatoa mlio.
Na puff ader ndiyo death adder, mnyama kukabidhiwa jina hilo siyo shughuli ndogo.
No hiyo naelewaBlack Mamba ni koboko
Yeah tunashukuru alimuuma pindi ana umri wa miaka minne now ana 11 ni mzima wa afya kabisa mungu ni mwemaK
Kama hakufa au kupata ulemavu wa kudumu shukuru mungu.
Mungu ni mwema.Yeah tunashukuru alimuuma pindi ana umri wa miaka minne now ana 11 ni mzima wa afya kabisa mungu ni mwema
Green Mamba Jameson Mamba na Black Mamba.No hiyo naelewa
I mean ukisema mamba family what does t mean?
Ok asante...Green Mamba Jameson Mamba na Black Mamba.
teh teh teh teh we jamaa duh asee!Mkuu huyo nyoka na mjua vizuri sana nimesoma uko tabora boys wapo wengi tu akisikia binadam anajongea sehem alipo hua anafoka kukujulisha nipo maeneo haya so usimzuru na unaweza pishana nae bila tatizo lolote.sisi tulikua tukiona ana vuka barabara tuna mchezea kwa kumvuta nyuma alipo toka anaishia kufoka tu ila hiyo mashine nyingine ilishawahi kuzingua watu makabulini akuna aliye baki nahisi ata marehem asinge kua ndani ya jeneza angekimbia
teh teh naona umenitaja mkuuLabda kesho maana nikiongelea habari za amphibia na reptilia usiku huwa silali.
teh teh teh teh teh mkuu kwann umesema msafara wa magu vijijinHuyu tembea yake huwa kama kinyonga tatizo usije mkanyaga, ila niliwahi ona akitoka mbio kuliko koboko tulipokuwa tunachoma rundo la majani kumbe alikuwemo, alitoka speed kali utadhani msafara wa magu vijijini, halafu kinyonga nae huwa maringo nishakuta kinyonga akienda speed ya mjusi akikimbia moto uliokuwa unachoma msitu,
mktuu namm hao nawapata fureshWana zindiko 1 la nyumba lile kiboko, kama mwanga akisogelea anakita nyumba imezungukwa na ziwa, watu asubuhi wanapita kwenda mashambani, wanakuta mtu anapiga mbizi kwenye majani au matuta, hawa jamaa ni kiboko aisee wana watu wao wanazindika wachawi kwamba akirudi tu anakufa wenyewe wanawaita kamchape
Sjajua anaweza kuishi miaka mingapi?Asee....mkuu umezidi kuniogopesha na huyu nyoka!
So ndo hakupatikana hadi leo?
Huwa wanaishi miaka mingapi?
Nimeumia as if namjua jamaa!Sjajua anaweza kuishi miaka mingapi?
Ila sjawahi kuskia habar ya kupatkana kwake mpk Leo hii
Naskia!Hivi ni kweli anavuta?
Kiweke hapa mkuu nakisubiriaSasa hebu ngoja niwape kisa kimoja kimchompata mtoto wa mganga wa jadi kule tabora
Katika msako wa Koboko kwa njia ya mtego wa bangi ajili ya shughuri za kawaida za matibabu ya uganga wa jadi alzokua akifanya baba ake.
Duh ....itakuwa inamfanya anakuwa aggressive huyoo...Naskia!
Anapenda sana harufu ya moshi wa bangi au sigara ya nyota
Penye mazingira hayo, Mara nyingi utamkuta.
Wawindaji wa hawa nyoka, huchoma bangi kwenye karai.
Kisha hukaa kwa mbali penye mwinuko kuangalia atakapotokea.