myselfimmortal17
Member
- Aug 4, 2018
- 7
- 2
Kumuona nyoka huyu ni mkosi, Sio kwa jamii za makabila yote, bali kwa mila za kabila lenu. Kuna watu, nyoka huyu wamesha muona mara nyingi sana, hakuna kilichowatokea.Pia ukimuona nyoka huyo ni mkosi..yani ukimuona na bahati nzuri asikuue basi ujue mabalaa na mikosi yatakuandama kama kufiwa na mke/mume watoto na ndugu wa karibu...
Huyu jamaa ni mshenzi sana
Ajabu kwa kweliKumuona nyoka huyu ni mkosi, Sio kwa jamii za makabila yote, bali kwa mila za kabila lenu. Kuna watu, nyoka huyu wamesha muona mara nyingi sana, hakuna kilichowatokea.
NAT GOLD ndio nini?kuna mmoja nilimuona anaruka nasikia kijiji kwetu alikuwepo ila kwa sasa wamehamia NAT GOLD na youtube
Mchana tuko busyhuu uzi mara nyingi huanza kuchangiwa mida ya jioni mpaka usiku mnene,ila mchana ni mara chache sana
chanel flan hivi inaonesha vijinyama pori vilivyo vidhoofuNAT GOLD ndio nini?
Ni NAT GOLD or NatGeo Wild mkuu?chanel flan hivi inaonesha vijinyama pori vilivyo vidhoofu
Acha uongoMobile aligonga ng'ombe 50 kwa dakika.
Sio wewe hata Mimi mkuu nitakua napitwa asee[emoji1]Ni NAT GOLD or NatGeo Wild mkuu?
Kama kuna na hiyo basi napitwa maana ndo vipindi pendwa vyangu!
Siijui hiyo Chanel japo almost vipindi vyote DSTV nimevikariri!Sio wewe hata Mimi mkuu nitakua napitwa asee[emoji1]
Arusha maeneo gn mzee?mimi na nyoka haziivi kabisa... na kingine ni vile sipendi beef nao. so kama tunakutana napenda kila mtu ashike hamsini zake... nlishawahi kutana na nyoka arusha kipindi flani barabaran akanipa tu hi nami nikampa hi nikalala mbele.. siku nyingine tena napita hiyo njia naye alikuwa anakatiza kwenda kwenye mishe mishe zake... basi nikaona oooooh.... isiwe tabu nikahamia njia nyingine ya mbali sana.maana hii ilikuwa ni short cut lakini nilipoona two times nakutana na mchizi yule yule nikajua hapo karibu anaweza kuwa na maskani au hata jamaa zake wanaishi eneo hilo. nami najijua siwezi beef nao hawa wadudu hata akiwa ame dead mimi simwezi. nina nyokaphobia. ukinambia njia ya huku kuna simba na huku kuna nyoka chagua kwa kupita ntapita nikapambane na simba but si nyoka....
Sio nat gold nat geokuna mmoja nilimuona anaruka nasikia kijiji kwetu alikuwepo ila kwa sasa wamehamia NAT GOLD na youtube
NATGEOchanel flan hivi inaonesha vijinyama pori vilivyo vidhoofu
Ila Pia Koboko aka Black mamba Anakimbizwa mpaka ana panda Kwenye mti,Anakimbizwa na Nguchiro,hawa ambao hats hapa Dar wapo,mi ninaoCurious Black Mamba kwenye YouTube ni ajabu hapo unapomuona koboko anashangaa kumuona panya juu ya mti
Ameshindwa hata kumgonga achilia mbali kumtamani kumla.
Duniani kama siku zako hazijafika ni kushukuru Mungu na kukubali uwepo wake
Siwezi kuiweka hapa ila unaweza kwenda YouTube