Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,715
- 45,114
Rambirambi zetu tunatuma kupitia namba ipi?
Vipi umeshamfundisha adabu Koboko huyo? Kama bado, mimi ninakushauri ufanye mojawapo ya mambo haya:
(a) Pulizia petroli eneo alipo; atakimbia na kabla hajafika mbali iwapo mvuke wa pteroli utamgusa basi atakufa polepole kulingana na wingi wa petroli iliyomgusa.
(b) Leta nguchiro kama watano hivi eneo alipo
(c) Tafuta jamaa wa maliasili-wanyamapori wadili naye
Kuna kamnyama flani kako kama paka huwa kanamwazibu sana koboko na koboko akisha mwona tu hako kamnyama ujanja huwa unamwisha hivi huwa kanatumia njia gani kumwenyesha koboko?
We mpoteze mwenzakoWasikutisheeee...deal nae braza..
Binadamu tumepewa atashi mkubwa na uwezo wa kuvitawala viumbe vilivyomo katika mazingira yetu....
Huyo koboko mshamba tu ukiamua kucheza nae perpendicular...
Ziba mashimo yoote yaliyo karibu...
Deal nae muda ambao jua ni kali.
Vaa gunbut na nguo ya mikono mirefu...
Mwaga mafuta ya taa maeneo yke..
Tembeza kichapo heavy.. Utaleta mrejesho
duhAngalia asije akakudaka takoni...
Babe upoo!, umepata mchepuko eeh unakukeep busy hivooUshauri tafuta watu wa maliasili wadili nae. Ni hatari mkuu.
Aisee, hatari sanaUwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.
Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.
Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.
Babe upoo!, umepata mchepuko eeh unakukeep busy hivoo
Hahaa, kweli nimeshangaa anasema eti alikua anamfokea asipite. Mimi hata asingenifokea nisingekatiza kabisa hayo maeneo,nnavoogopaUpo sehemu gani ili tunaogopa nyoka tusikaribie kabisa maeneo hayo?
Kaongo wewe , haya nashukuru. Hujambo lakini. Naskia huogopi black mamba kama huyo mleta Uzi?Mpenzi wangu mchepuko wa nini? Wewe unatosha kabisa.
Mkuu sababu ya kumfuga huyo Cobra ni nini?Mnaendeleza ubabe kwenye mitandao tu
Unavuta bangi unakuwa mpole lakini huyu anakula bangi ndio maana hata akikutana na mfu anagonga sumu tu
Nawapenda nyoka ila huyu ana ushetani na ni the most aggressive
Nafuga cobra shambani ila huyu anatisha
Alizaliwa hapo na amekulia hapo na hana madhara kabisa na chakula kingi kwenye farmMkuu sababu ya kumfuga huyo Cobra ni nini?