Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Sasa mi nawashangaa wadau wanao mbishia mtoa post,,, nikwamba hawajui kua sis bnadam tunatofautiana, kiujuzi, na uwezo au!! Ssa sioni haja ya kumbishia,, yeye kasema atamuua kesho akiwa n maana yake binafsi,

Nasubiria picha
 
Bora nyoka tu ( KOBOKO)?

Asiporudi online mods muwekeeni badge ya R.I.P
Huyu hapa jamaa mwenyewe. Doh huyu hafai mkuu achana nae
unnamed.gif
 
Ndo ujiulize kwanini baadhi ya social media platforms huwa zinakuwa na ile Option ya ku-view 'covered content' ambayo huenda kuna blood contents au scariest things unayoifungua at your own risk.

Binadamu hawako sawa mkuu.!
Kwa maelezo yako huyo sio Koboko ungekuta tushakusahau, labda ni aina nyingine ya nyoka, Black mamba au Mhando wasikie tu kwa mbali hawaachi kitu
 
Back
Top Bottom