Kobe wa Kipanya ameanza kuchungulia

Kobe wa Kipanya ameanza kuchungulia

Mimi nilivyoelewa:. Hiyo chini ni sanda,hiyo juu ni jeshi na yalimo macho(mwili) pana giza.
Giza limo ndani palipo na macho(mwili) na Jeshi lipo juu ikimaanisha mwili(macho) ulikuwa kwenye siasa/katiba(giza) na sasa Jeshi liko on top ya sanda na macho/giza.
Kimsingi ni "Military State"
 
Kama ndio uneelewa hivyo basi uelewa wako ni finyu sana
 
Back
Top Bottom