KOBE ANA 5KG

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Sasa mbona cha mtoto huyo yupo
Kwa mjomba tunamfuga shambani ana kilo 14 nimezaliwa nimemkuta mpaka leo hii yupo
 

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Mimi kwa sasa siko huko niko pori
Huku wanapaita Bupandwamhela
Kahunda huku nabadilishana mawazo na wenyeji wa huku Mungu akipenda narudi jumapili nikipata muda nitaiweka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom