Hiki kitu kilinifanya niwe na shauku ya kuingia jamvini leo na kuuliza....kuna mtu kamchakachulia bro wangu modem yake ya zantel...yaani ni anatumia internet bure bila kurecharge wala nini! Anatumia profile ya @zantel.com. Mwenye knowledge ya kufanya utundu huu naomba atupe ujanja huo na sisi...

tayari kaka yako anaye mtu mwambie akuunganishe nae uku unatafuta nini tena au ww ndio muhusika unataka kujua kama kunawengine wanafanya unachofanya huo ni wizi na ukikamatwa ni sawa na mafisadi wengine hapa tupokuelimishana zaidi na kama unajua unaweka hapa
huyo mtu lazima ni staff wa zantel tena kule jikoni. Huyo mtu hahitajiki tanzania maana ndio walewale wanaotuharibia nchi....ukitaka huduma ilipie. Tchao!

Unataka Zantel wafunge virago km CUF wanavyofunga virago huku bara? Tanzania hatutaendelea wallah. Ww modem tu unataka chakachua, halafu upewe ukurugenzi wa idara nyeti huko serikali, wallah.............

Hakuna mwema hata mmjo hapa, hao wote wanao jitia upambanaji waongo hawajapata nafasi tu. hapa ni ufisadi kwenda mbele tu! kila mmoja fisadi kwa nafasi yake. hakuna msafi hapa.