Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 353
Jamani kuna kisanga kimetokea leo. Dada mmoja amekwenda kumtembelea mpenziwe baada ya kutoka chuoni (yuko likizo) na ktk kupitiapitia DVD'S zilizokuwa ktk shelf sebulen kwa mpenzie, mojawapo ikamvutia na alipoiweka na kuichek kumbe ilikuwa ya engagement part ya bf wake na dada mwingne. Mdada amejikock vidonge visivyo na idadi amekimbizwa hospital huenda aka....! Sasa bs CHA AJABU ZAIDI, KIJANA HUYU KUMBE ALIKUWA AMEOA NA NDOA ILIKUWA INA MIGOGORO SO AKAAMUA AOE HARAKAHARAKA (aliyeengagiwa) ILA MKEWE KABLOCK NDOA ILIYOTARAJIWA KUFUNGWA HAPO AUGUST. Nimebaki na maswali kibao kuhusu jambo hli,
1. Je huyu kaka ako na akili sawa?
2. Kwa nini atake kufunga ndoa juu ya ndoa?
3. Kwa nini alimficha huyu mwingne?
4. Ndivyo wanaume walivyo au.....?
5. Akifa yule dada atajickiaje?
6. Je huyo alievikwa pete alijua uwepo wa ndoa ya zamani?
Jamani wale ambao hawajaolewa 2tasalimikaje na matukio ya namna hii manake uongo umepamba moto!?
1. Je huyu kaka ako na akili sawa?
2. Kwa nini atake kufunga ndoa juu ya ndoa?
3. Kwa nini alimficha huyu mwingne?
4. Ndivyo wanaume walivyo au.....?
5. Akifa yule dada atajickiaje?
6. Je huyo alievikwa pete alijua uwepo wa ndoa ya zamani?
Jamani wale ambao hawajaolewa 2tasalimikaje na matukio ya namna hii manake uongo umepamba moto!?